Matayo 4:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu karibu na ziwa, katika eneo la Zabuloni na Naftali.