Matayo 4:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ameka matwa na kuwekwa gerezani, alirudi Galilaya.