Matayo 28:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ghafla pakatokea tetemeko kubwa la ardhi; kwa sababu Malaika wa Bwana alikuja kutoka mbinguni akalisogeza lile jiwe, akalikalia.