Matayo 26:75

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na Petro akakumbuka Yesu alivyomwambia, “Kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu.” Akaenda nje, akalia kwa uchungu.