Matayo 26:51

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo mmojawapo wa wafuasi wa Yesu ali poona hivyo, akachukua panga lake, akampiga nalo mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.