Matayo 26:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha Yesu akawaambia, “Moyo wangu umejaa majonzi karibu ya kufa. Kaeni hapa mkeshe pamoja nami.”