Matayo 26:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, “Chukueni mle; huu ni mwili wangu.”