Matayo 22:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawatuma watumishi wake wakawaite wageni walioalikwa lakini wakakataa kuja.