Matayo 22:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alifahamu hila yao kwa hiyo akawaambia, “Ninyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega?