Matayo 22:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje humu bila vazi la harusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.