Matayo 22:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale watumishi wakaenda mabarabarani wakawakusanya wote waliowakuta, wema na wabaya. Ukumbi wa sherehe ya harusi ukajaa wageni.