Matayo 20:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akasimama na akawaita, akawau liza, “Mnataka niwafanyie nini?”