Matayo 20:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wakawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao walizidi kupiga kelele wakisema, “ Bwana, Mwana wa Daudi, tuonee huruma.”