Matayo 2:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Herode akaitisha mkutano wa makuhani wakuu na waandishi, akawataka wamweleze mahali ambapo Kristo angezaliwa.