Matayo 2:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mfalme Herode alipopata habari hizi alifadhaika sana na watu wote wa Yerusalemu wakawa na hali ya wasiwasi.