Matayo 19:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaambia, “Waacheni watoto waje kwangu, msiwazuie; kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wa walio kama hawa.