Matayo 19:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa Yesu ili aweke mikono yake juu yao na awaombee. Lakini wanafunzi wake wakawakemea wali owaleta.