Matayo 18:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo mtu ye yote anayejinyenyekeza akawa kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa mbinguni.