Matayo 18:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha akasema, “Nawa hakikishieni kwamba msipobadilika na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa mbinguni.