Matayo 17:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na wakiwa huko, Yesu akabadilika sura mbele yao, uso wake ukang’aa kama jua na nguo zake zikawa nyeupe kama mwanga.