Matayo 17:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya siku sita, Yesu akawachukua Petro, Yakobo na Yohana ndugu yake Yakobo, wakaenda peke yao juu ya mlima mrefu.