Matayo 16:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Bado tu hamwelewi? Hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu elfu tano na idadi ya vikapu vya mabaki mlivyokusanya?