Matayo 16:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Yesu, akitambua mazungumzo yao, alisema, “Enyi watu wenye imani haba! Mbona mnajadiliana kuhusu kutokuwa na mikate?