Matayo 14:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini siku ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya watu walioalikwa akamfurahisha sana Herode.