Matayo 14:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akasema, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.”