Matayo 13:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule adui aliyepanda magugu ni shetani. Mavuno ni mwisho wa ulimwengu; na wavunaji ni malaika.