Matayo 13:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Shamba ni ulimwengu, na mbegu nzuri ni wana wa ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.