Matayo 10:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nanyi mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ataokoka.