Matayo 10:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe, na baba atamsaliti mwanae auawe. Watoto nao wataasi wazazi wao na kusababisha wauawe.