Marko 9:50

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utafanya nini ili iweze kukolea tena? Muwe na chumvi ndani yenu. Muishi pamoja kwa amani.”