Marko 9:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hawa kumjibu, kwa sababu njiani walikuwa wakibishana kuhusu nani kati yao alikuwa mkuu zaidi.