Marko 9:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mavazi yake yakametameta kwa weupe, yakang’aa, yakawa meupe kuliko ambavyo dobi ye yote duniani angaliweza kuyang’aarisha.