Marko 9:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliwakuta wame zungukwa na umati mkubwa wa watu na baadhi ya walimu wa sheria wakibishana nao.