Marko 8:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mtu ye yote aipotezaye nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya kuitangaza Habari Njema, ataiokoa.