Marko 8:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta kipofu mmoja wakamsihi Yesu amguse.