Marko 8:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Na nilipomega mikate saba kuwalisha watu elfu nne mlikusanya mabaki vikapu vingapi?” Wakamjibu, “Saba.”