Marko 8:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Nawaambieni kweli, hakitapewa ishara yo yote.”