Marko 7:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wakastaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!”