Marko 7:36

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akawaamuru wasimwambie mtu ye yote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia ndivyo walivyozidi kutangaza habari zake.