Marko 7:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawajibu, “Hata nanyi hamwelewi? Hamtambui kwamba kitu kimwingiacho mtu kutoka nje hakiwezi kumfanya mchafu?