Marko 7:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipoachana na wale watu aliingia ndani. Wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mfano ule.