Marko 5:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi, Yesu aliona vurugu na watu wengi wakilia na kuomboleza kwa nguvu.