Marko 5:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni kwake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.