Marko 5:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mara damu iliyokuwa inamtoka ikakauka; akajisikia amepona kabisa.