Marko 5:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule mtu akaenda akaanza kutangaza katika Dekapoli - yaani miji kumi, mambo makuu aliyomtendea Bwana. Na watu wote wakastaajabu.

Yesu Amponya Mama Aliyetokwa Damu