Marko 5:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipoanza kuingia kwenye mashua, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamsihi Yesu waende pamoja.