Marko 4:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, miiba hiyo ikakua ikazisonga kwahiyo hazikuzaa matunda.