Marko 4:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wao walikuwa wamejawa na hofu wakaulizana, “Ni nani huyu ambaye hata upepo na mawimbi vinamtii?”