Marko 4:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akaamka, akaukemea ule upepo, akaiambia ile bahari, “Kaa kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari.