Marko 4:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunaweza kuufa nanisha na punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.